Ufafanuzi wa sigi katika Kiswahili

sigi, kisigi

nominoPlural sigi

  • 1

    ndege mdogo mwenye rangi ya kahawia, milia miembamba kifuani hadi tumboni, mdomo mwekundu, mkia mfupi na hupendelea kuruka katika makundi.

    usisi

Matamshi

sigi

/sigi/