Ufafanuzi wa sijafu katika Kiswahili

sijafu

nominoPlural sijafu

  • 1

    pindo la ndani la mkono k.v. wa kanzu au koti linaloshonewa kwa ndani.

Asili

Kaj

Matamshi

sijafu

/siʄafu/