Ufafanuzi wa sijida katika Kiswahili

sijida

nominoPlural sijida

Kidini
  • 1

    Kidini
    tendo la kuinamisha uso na kuugusisha k.v. kwenye mkeka au msala wakati wa kusali.

  • 2

    Kidini
    alama inayotokeza kwenye paji la uso kutokana na kuguswa k.v. kwenye mkeka au msala wakati wa kusali.

Asili

Kar

Matamshi

sijida

/siʄida/