Ufafanuzi wa siki katika Kiswahili

siki

nominoPlural siki

  • 1

    maji k.v. ya matunda au nazi yaliyochachuliwa kwa makusudi ambayo hutumika kuongezea ladha katika baadhi ya vyakula au dawa.

Asili

Kaj

Matamshi

siki

/siki/