Ufafanuzi wa sikika katika Kiswahili

sikika

kitenzi sielekezi

  • 1

    wezekana kusikiwa.

    ‘Ukiongeza sauti utasikika’

Matamshi

sikika

/sikika/