Ufafanuzi wa sikitisha katika Kiswahili

sikitisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu ahuzunike.

    huzunisha

Matamshi

sikitisha

/sikitiāˆ«a/