Ufafanuzi wa sikukuu katika Kiswahili

sikukuu

nomino

  • 1

    siku ya maadhimisho ya tukio fulani; siku ya kufurahikia tukio fulani k.v. kuadhimisha Idi.

Matamshi

sikukuu

/sikuku:/