Ufafanuzi wa silabi katika Kiswahili

silabi

nominoPlural silabi

  • 1

    sehemu ya neno inayoundwa na konsonanti na irabu au irabu peke yake na hutamkwa kwa pamoja kama fungu moja la sauti k.m. ‘i’ na ‘ta’ katika neno ‘ita’ ni silabi mbili tofauti.

Asili

Kng

Matamshi

silabi

/silabi/