Ufafanuzi wa silabi funge katika Kiswahili

silabi funge

  • 1

    silabi ambayo huishia na konsonanti na ambayo haina kilele cha mvumo wa sauti.