Ufafanuzi wa silabi huru katika Kiswahili

silabi huru

  • 1

    silabi ambayo agh. huishia na irabu au kama ni konsonanti peke yake basi yenyewe itakuwa pia na kilele cha mvumo wa sauti.