Ufafanuzi wa silika katika Kiswahili

silika

nominoPlural silika

  • 1

    tabia za kuzaliwa alizonazo mtu.

    ‘Wako watu wenye silika ya woga na wengine wenye silika ya ujasiri’

Asili

Kar

Matamshi

silika

/silika/