Ufafanuzi wa silimu katika Kiswahili

silimu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ingia katika dini ya Uislamu.

Matamshi

silimu

/silimu/