Ufafanuzi wa simamia katika Kiswahili

simamia

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa mwangalizi wa jambo au shughuli fulani; kuwa msimamizi.

    angalia

Matamshi

simamia

/simamija/