Ufafanuzi wa simango katika Kiswahili

simango

nominoPlural masimango

  • 1

    tamko au maneno ya kusimbulia au kusimanga.

    simbulio, dhalala

Matamshi

simango

/simangɔ/