Ufafanuzi wa sime katika Kiswahili

sime

nomino

  • 1

    kisu kikubwa chenye makali pande zote mbili.

    buchari, shembea

Matamshi

sime

/simɛ/