Ufafanuzi msingi wa simika katika Kiswahili

: simika1simika2

simika1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~iza, ~wa, ~ana, ~iwa

 • 1

  fanya kitu kisimame wima.

  kita

 • 2

  fanya uume usimame.

  simamisha, disa, dinda

Matamshi

simika

/simika/

Ufafanuzi msingi wa simika katika Kiswahili

: simika1simika2

simika2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~iza, ~wa, ~ana, ~iwa

 • 1

  tawaza mtu ili kumpa madaraka ya uongozi.

Matamshi

simika

/simika/