Ufafanuzi msingi wa simu katika Kiswahili

: simu1simu2

simu1

nominoPlural simu

 • 1

  chombo kinachotumika kupelekea na kupokelea mawimbi ya sauti baina ya mtu na mtu papo kwa papo, chenye nambari na mkono wa kusikiliza na kusemea.

 • 2

  ujumbe au habari zinazopokelewa kwa kutumia chombo hicho.

 • 3

  ujumbe au habari zinazopokewa kwa kutumia mtambo fulani na baadaye kuandikwa.

  ‘Nimeletewa simu kwamba babu ni mgonjwa’
  telegramu, faksi

Asili

Kaj

Matamshi

simu

/simu/

Ufafanuzi msingi wa simu katika Kiswahili

: simu1simu2

simu2

nominoPlural simu

 • 1

  samaki wadogo jamii ya dagaa.

Matamshi

simu

/simu/