Ufafanuzi wa sinasina katika Kiswahili

sinasina

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa sauti kama ya mtu anayevuta kamasi kwa kuvuta pumzi ndani na kutoa nje, hasa baada ya kulia sana au k.v. mtoto anapotaka kuanza kulia.

Matamshi

sinasina

/sinasina/