Ufafanuzi msingi wa sindano katika Kiswahili

: sindano1sindano2sindano3sindano4

sindano1

nominoPlural sindano

 • 1

  kifaa maalumu chenye ncha kali na tundu la kupenyezea uzi ambacho hutumiwa kwa kushonea.

Matamshi

sindano

/sindanɔ/

Ufafanuzi msingi wa sindano katika Kiswahili

: sindano1sindano2sindano3sindano4

sindano2

nominoPlural sindano

 • 1

  kifaa maalumu kinachotumika kupenyezea dawa katika mwili wa mtu au mnyama.

  ‘Dunga sindano’

Matamshi

sindano

/sindanɔ/

Ufafanuzi msingi wa sindano katika Kiswahili

: sindano1sindano2sindano3sindano4

sindano3

nominoPlural sindano

 • 1

  aina ya mchele mwembamba.

Matamshi

sindano

/sindanɔ/

Ufafanuzi msingi wa sindano katika Kiswahili

: sindano1sindano2sindano3sindano4

sindano4

nominoPlural sindano

 • 1

  aina mojawapo ya embe dogo na jembamba.

Matamshi

sindano

/sindanɔ/