Ufafanuzi wa sinema katika Kiswahili

sinema, senema

nominoPlural sinema

  • 1

    jengo maalumu ambamo ndani yake huonyeshwa matukio, agh. ya kuigizwa katika picha za filamu.

  • 2

    maonyesho ya matukio, agh. ya kuigizwa katika picha za filamu.

Asili

Kng

Matamshi

sinema

/sinɛma/