Ufafanuzi msingi wa singa katika Kiswahili

: singa1singa2

singa1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    sugua mwili kwa kupaka mafuta na sandali ili uwe laini.

Matamshi

singa

/singa/

Ufafanuzi msingi wa singa katika Kiswahili

: singa1singa2

singa2

nominoPlural singa

  • 1

    nywele ndefu laini na zilizonyooka k.v. za Wazungu, Wahindi au Waarabu.

    ‘Nywele za singa’

Matamshi

singa

/singa/