Ufafanuzi wa singizia katika Kiswahili

singizia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~wa

  • 1

    sema kwamba mtu ametenda jambo fulani na hali si kweli.

    danganya, pakazia

  • 2

    toa sababu ya uongo ili kujikinga dhidi ya adhabu au lawama.

    zua

Matamshi

singizia

/singizija/