Ufafanuzi wa siniguse katika Kiswahili

siniguse, usiniguse

nomino

  • 1

    shanga nyepesi ambazo hupasuka kwa urahisi, agh. huvaliwa kiunoni na wanawake.

    kashabu