Ufafanuzi wa sinodi katika Kiswahili

sinodi

nominoPlural sinodi

Kidini
  • 1

    Kidini
    mkusanyiko wa makanisa ya madhehebu ya Ukristo yaliyo chini ya askofu.

Asili

Kng

Matamshi

sinodi

/sinɔdi/