Ufafanuzi wa sinonimu katika Kiswahili

sinonimu

nominoPlural sinonimu

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno lililo na maana sawa na neno jingine k.m. ‘mwandani’ ni sinonimu ya ‘mpenzi’.

    kisawe

Asili

Kng

Matamshi

sinonimu

/sinɔnimu/