Ufafanuzi wa sintaksia katika Kiswahili

sintaksia

nominoPlural sintaksia

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    tawi la isimu linalojihusisha na miundo na uchanganuzi wa taratibu na kanuni za uhusiano baina ya maneno katika tungo.

Asili

Kng

Matamshi

sintaksia

/sintaksija/