Ufafanuzi wa sinza katika Kiswahili

sinza

kitenzi sielekezi

  • 1

    tosheka na kinywaji k.v. baada ya kunywa maji.

Matamshi

sinza

/sinza/