Ufafanuzi msingi wa sinzia katika Kiswahili

: sinzia1sinzia2

sinzia1

kitenzi sielekezi~lia, ~ka, ~sha

  • 1

    shikwa au jiwa na usingizi mwepesi; onyesha dalili ya kutaka kulala kwa kufumbafumba macho na kusinukia.

    gotea

Matamshi

sinzia

/sinzija/

Ufafanuzi msingi wa sinzia katika Kiswahili

: sinzia1sinzia2

sinzia2

nominoPlural sinzia

  • 1

    mwizi wa kuibia watu mifukoni bila ya wanaoibiwa kujua.

Matamshi

sinzia

/sinzija/