Ufafanuzi wa sirati katika Kiswahili

sirati

nominoPlural sirati

Kidini
  • 1

    Kidini
    njia inayoaminiwa na Waislamu kuwa itapitwa na binadamu siku ya malipo ili wengine kwendea peponi na wengine motoni.

Asili

Kar

Matamshi

sirati

/sirati/