Ufafanuzi wa sisimua katika Kiswahili

sisimua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    fanya mwili kupata hisi k.v. hofu, huzuni, kimya, n.k., agh. kwa sababu ya tukio lililotokea au maelezo yanayotolewa.

  • 2

    leta mawazo ya kufurahisha au kuvutia.

    ‘Ametoa hotuba ya kusisimua’

Matamshi

sisimua

/sisimuwa/