Ufafanuzi wa sisitiza katika Kiswahili

sisitiza

kitenzi elekezi

  • 1

    tia mkazo katika maelezo au habari ili kuonyesha jinsi jambo lenyewe lilivyo muhimu.

    kazia

Matamshi

sisitiza

/sisitiza/