Ufafanuzi wa siti katika Kiswahili

siti

nominoPlural masiti

  • 1

    jina la heshima kwa mwanamke ambalo hutangulizwa kabla ya jina lake hasa.

    mwana, bibi

Asili

Kar

Matamshi

siti

/siti/