Ufafanuzi wa sitiari katika Kiswahili

sitiari

nominoPlural sitiari

  • 1

    tamathali ya usemi yenye maana ya kuhusisha kitu kimoja na kingine vyenye sifa zinazofanana.

    ‘Juma ni simba kumaanisha Juma ana ujasiri kama simba’

Asili

Kar

Matamshi

sitiari

/sitijari/