Ufafanuzi wa sitiri katika Kiswahili

sitiri, setiri

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    ficha jambo au kitu cha aibu ili kisionekane; ficha aibu.

    funika, ficha

  • 2

    kinga na kitu au jambo.

    ‘Nimevaa koti ili linisitiri na baridi’

Asili

Kar

Matamshi

sitiri

/sitiri/