Ufafanuzi wa siwa katika Kiswahili

siwa

nominoPlural masiwa

  • 1

    baragumu kubwa, agh. la pembe ya ndovu au lililochongwa kutokana na miti maalumu, lililotumika zamani katika sherehe kubwa, agh. za taifa.

Asili

Kar

Matamshi

siwa

/siwa/