Ufafanuzi wa skafu katika Kiswahili

skafu

nominoPlural skafu

  • 1

    kitambaa kinachovaliwa shingoni na mabegani.

  • 2

    mtandio

Asili

Kng

Matamshi

skafu

/skafu/