Ufafanuzi wa skauti katika Kiswahili

skauti

nominoPlural maskauti

  • 1

    mtu anayetumwa kupeleleza habari za maadui wakati wa vita na kulijulisha jeshi lake.

  • 2

    mfuasi wa chama maalumu cha vijana kinachofunza mafunzo na tabia za kishujaa na za kikakamavu ili kuweza kuyakabili baadhi ya matatizo ya kila siku.

    ‘Chama cha skauti’

Asili

Kng

Matamshi

skauti

/skawuti/