Ufafanuzi wa skeli katika Kiswahili

skeli

nomino

  • 1

    kipimo kinachowakilisha kipimo kingine kwa uwiano maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

skeli

/skɛli/