Ufafanuzi wa skonzi katika Kiswahili

skonzi

nominoPlural skonzi

  • 1

    mkate mdogo wa duara au mraba.

Asili

Kng

Matamshi

skonzi

/skɔnzi/