Ufafanuzi wa sleti katika Kiswahili

sleti

nominoPlural sleti

  • 1

    kifaa cha kuandikia kitengenezwacho kwa jiwe la grife lililo jeusi au kipande cha ubao na huandikwa kwa chaki au kalamu ya jasi.

    kibao

Asili

Kng

Matamshi

sleti

/slɛti/