Ufafanuzi wa sogea katika Kiswahili

sogea

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~za

  • 1

    ondoka mahali pa awali kwa kujisukuma.

    jongea, karibia, enda

Matamshi

sogea

/sɔgɛja/