Ufafanuzi wa sogeza katika Kiswahili

sogeza

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kitu kwa kukisukuma toka pale kilipo kwenda pembeni kidogo.

Matamshi

sogeza

/sɔgɛza/