Ufafanuzi wa soka katika Kiswahili

soka

nominoPlural soka

  • 1

    mchezo wa mpira wa miguu.

    kandanda, gozi, kabumbu

Asili

Kng

Matamshi

soka

/sɔka/