Ufafanuzi wa soko katika Kiswahili

soko

nomino

  • 1

    mahali penye mkusanyiko wa wanunuzi na wauzaji wengi wa bidhaa za rejareja.

    gulio

Asili

Kar

Matamshi

soko

/sɔkɔ/