Ufafanuzi wa sokoa katika Kiswahili

sokoa

kitenzi elekezi

  • 1

    toa kitu kilichoshikamana ndani ya kingine k.v. mbata kwenye kifuu.

Matamshi

sokoa

/sɔkɔwa/