Ufafanuzi wa sokomoko katika Kiswahili

sokomoko

nominoPlural sokomoko

  • 1

    hali ya utatanishi.

    matata, fujo, ghasia

Matamshi

sokomoko

/sɔkɔmɔkɔ/