Ufafanuzi wa soksi katika Kiswahili

soksi

nomino

  • 1

    vazi linalovaliwa mguuni kabla ya kuvaa kiatu.

Asili

Kng

Matamshi

soksi

/sɔksi/