Ufafanuzi msingi wa somba katika Kiswahili

: somba1somba2

somba1

kitenzi elekezi

  • 1

    kusanya na kuchukua vitu ovyoovyo au kwa mrundiko.

    zoa, soza

Matamshi

somba

/sɔmba/

Ufafanuzi msingi wa somba katika Kiswahili

: somba1somba2

somba2

nomino

Matamshi

somba

/sɔmba/