Ufafanuzi wa sombogoa katika Kiswahili

sombogoa

kitenzi elekezi

  • 1

    pindapinda au nyonganyonga viungo vya mwili.

    furukuta, nyonga

Matamshi

sombogoa

/sɔmbɔgɔwa/