Ufafanuzi wa someka katika Kiswahili

someka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka

  • 1

    wezekana kusomwa.

    ‘Mwandiko utasomeka tu ukiandika kwa herufi kubwa’

Matamshi

someka

/sɔmɛka/